Ladies mnafanya nini na handcuffs na nyinyi si polisi - Mwalimu King'ang'i

There is a problem somewhere

Maina Kageni and Mwalimu King'ang'i
Image: courtesy

Ladies mnafanya nini na handcuffs na nyinyi si polisi - Mwalimu King'ang'i

Radio Hosts Mwalimu King'ang'i and Maina Kageni made left their listeners in stitches discussing some of the most shocking things found in passengers' languages at the Airport. 

They asked: "Ladies mnafanya nini na handcuffs na nyinyi si polisi?"

Mwalimu started by saying, "Unajua sikuhizi watu wanasimamishwa hapo JKIA, ufungue mfuko uwaonyeshe kilakit,zile vitu wameanza kupata pale is an episode, guns zile kubwa na zile tudogo, viagra zetu sasa alafu zile mingi zaidi kuna handcuffs ambayo si ya polisi.

He continued to say, "I thought handcuffs ni za polisi."

Maina then said, "Handcuffs are kinky,

Mwalimu then said, "Then kuna hii ambayo ni mingi sijui watafanya wapi, watafungua store wakona toys na si za watoto, mabwana za watu wameshikiwa hapo."

Maina then said,"Mabwana za watu zimeshikiwa huko kabisa."

Mwalimu then said, "I don't know what they can do this is kinda embarassing mzee akishikiwa hapo, akiparadiwa hapo kwa meza."

Maina interrupted, "Anawekwa kwa store hata si kwa police cell."

Mwalimu stated,"Unaulizwa hii yote Nyawira, so I don't know if they were to ask me I don't know kama wanaweza kupewa kitu kama screen inaona si I thought wakona hiyo screen ya kuona kitu ikipita.

He continued to say, "Unaambiwa badala ya kufungua mfuko, unaambiwa Nyawira ni sawa tumeona.

Maina then said,"Ni sawa tumeona bwana yako."

Mwalimu then said, "Ametulia, na ni wawili ama watatu, wewe kuja tuongee na wewe hapa tunaeza kusaidia because mzee wako akitolewa aanze kutetemeshwa hapo waone kama inafanya kazi."

Mwalimu continued to say"Imeekwa battery waone kama inafanya kazi, it is very embarassing na hii kitu itatu affect as a country because mnaaza kuogopesha watu kukuja na wana zao ambao sahi from the look of things they have to accompay them."

Mwalimu concluded the conversation by saying, "Hapa kuna shida."

Down below is the link: