Corporal-punishment-in-schools

Washing pigs to uprooting tree stumps: 24 agonizing school punishments

 

Teachers pets can’t relate to this cruel punishment.

A discussion by KOT about being punished in high school has generated quite a response. A twitter user @dreymwangi prompted the funny reactions after asking “Ukiwa highschool ni punishment gani kubwa ushawahi pewa, nliosha dining hall for a whole week pekee yangu

We picked out 24 of the most hilarious comments that will have you rolling on the floor, but also reminiscing about your own experience.

1. @GichuruKangere
Field slashing Coz of Exams cheating
Ukiwa highschool ni punishment gani kubwa ushawahi pewa, nliosha dining hall for a whole week pekee yangu

2. @GichuruKangere
Field slashing Coz of Exams cheating

3. @NanjieGalgalo
Niliosha hall for two weeks, anyone who knows how big State House Girls’ Assembly Hall is will tell you apo nilikuwa nateswa si mchezo

4. @Jolawi
Nilipigwa na walimu kumi juu ya kuuza chapo. 60 strokes na waya ya stima nikapewa off ya wiki mbili nilale dorm. Couldn’t sit down buana. Biz ya chapo bado iliendelea nikiwa ward pale dorm

5. @rocky_warui
Kuchimba shimo inatoshana na height yako,,fvck

6. @kinyuaWaMuthoni
Kulima shamba ya shule juu sikuandika notes za chem

7. @Maobe10
Kufrog jump kando ya pool kuincrease your chances of falling into the water ndio ukufe

8. @Pepper_mahn
Nilipatikana nimelala daro nikaambiwa nipande mti ilikuwa hapo nje ya daro

9. @DendrickGN
niliambiwa nichimbe shimo naeza toshea nimwage maji then nikaambiwe niingie ndani kichwa pekee yake ndio ionekane juu, by the time nilikuwa namaliza ni saa nane nikakaa hapo hadi 5 jioni

10. @Mashada_001
Kulala grao mchana yote juu nilikataa kuamka preps

11. @RainiBrian
Nipande stairs reverse on my knees

12. @edkabasa
Some guy in our school refused to uproot such a stamp. He was told he’d never pick his KCSE results until the day he uprooted the damn thing. He came back to do it 10 months after high school.

13. @noisy_ibra
Kuosha a whole dorm kutoka ground floor hadi 2nd floor

14. @_Tevoh
Nishaikuwa watchman siku mbili bro…hadi shift ya usiku

15. @I_nd_Me
Kuokota maize cobs nijaze basin ya kuoga

16. @its_glavan
Nilikua nauza kdf kushikwa manze nikaambiwa nioshe dining hall mzima na toothbrush na ilikua season ya mvua

sema chest pains

17. @shii_dee
Washing cow shed a whole Saturday

18. @NonnsV
Nishai pewa punishment nioshe nguruwe za shule
vile nilimaliza kuenda kuita teacher nikapata zishajichafua tena

19. @Despot_tutu
Nilishikwa na mali bana. Wakaamua kumaliza hio nimevuta nichimbe shimo naweza lala na nisimame na wasinione. Nikachimba na 2 days wakasema niko na mchezo niizike yote. I nearly went in for murder

20. @kaminiskiee
kuosha nyumba fulani ya matope

21. @kamau_robert
tuliambiwa na my friend #Nyux tukatakate sukuma za shule. uzuri ilikuwa panga. gunia mbili per day for a week

22. @MareyanneN
Kununua ngumu kwa fence unazikula ukiwa umepiga magoti chini

23. @ayyyness
nilitembea na magoti from class nikazunguka dining hall and back to class again..hiyo wiki nilikua naingia choo nikilia. i still have the scars on my knees

24. @kiariem254
Mm nilipiga nduru mode akifunza nikaambiwa niende apo nje ya staffroom nishinde nikipiga nduru

Also read more here

Photo Credits:

Read More:

[fbcomments data-width="100%"]