harmonize 3

‘Thank You For Blessing Me With Your Gift’ Maina Kageni Tells Bongo Singer Harmonize (AUDIO)

Finally he is here! The much awaited tour of Tanzanian singer Harmonize to Kenya is underway.

The singer was hosted this morning by Classic 105 morning presenter Maina Kageni, who was completely floored by the musician. The ‘Matatizo’ singer has been promising his Kenyan fans that he would come and visit the country, but has been canceling his plans for unexplained reasons.

Here is Maina Kageni’s Q & A with the music sensation.

1.Maina; Karibu Nairobi na Classic 105. What do you people in bongo eat or drink because your music is amazing.

Answer; (laughing) tunajaribu tuu kufanya kazi nzuri ambacho watu wengi watafurahia. ila pia tunafanya kitu kidogo ttu tunapresent kwa mashabiki wetu ambayo inafanya wakipokea vizuri na kukipenda unajua. sithandhi tunafanya musiki tofauti na watu ambao wanafanya sijui sis tunaruka juu ..apana.. so tunasukuru sana kwa mafans wetu Kenya na mataifa nyingine pia.

2. Maina; How long have you been in music?

Harmonize; Ah now I think its been four years.

3. Maina; how did you start, ulianza aje?

Harmonize; Nilianza tuu kwa kuimba mtaani watu wakaniambia niko na talent.

4. Maina; Sauti uko nayo by the way.

Harmonize; so watu wakaniambia niko na talent nikaanza kufuatilia. So nikaanza kuhangaika baadhi ya studio, kutafuta record label na management, hapo ndipo nikakutana na management ya WCB, ndio waka ni sign nikawa official.

5. Maina; Mlipatana wapi na Diamond Platnumz?

Harmonize; Nilikuwa na numba yake. Alikuwa ana fanya show nika mtext nikamwambia mi naitwa Harmonize nafanya muziki na nikatuma ngoma yangu. Alikuwa na event kubwa huko dar, nikamwambia naomba nije nikaperform tuu katika hii event yako. So akaniambia haina shida hii ni numba ya manager wake akaniambia ongea naye

6. Maina; What was your thought process ukiandika the song matatizo?

Harmonize; unajua maisha ya wafrika wengi sio mazuri. Wenye maisha mazuri ni wachache sana. So mie ni kati ya watu ambo wamepitia maisha magumu. Nilikuwa nachukua histori yangu ya maisha na maisha ya wafrika kwa jumla. Sometimes nilikuwa na kosa hela ya kula nilikuwa na kosa pa kulala.

7. Maina; Would you ever consider doing a collabo with Jose Chameleone?

Harmonize; Ukizumgumzia Chameleone, uanzungumzia legend. Ame inspire watu wengi sana wasanii kufanya muziki. So ni mtu ambaye tunaweza fanya collabo kwasabau mie naheshimu talent ya mtu na heshimu sana ukarimu wa mtu.

8. Maina; Alot of ladies on social media want to know, are you single?

hHrmonize; laughing, without answering. I’m single by the way.

9. Maina; are you searching now that you’ve declared you’re single?

Harmonize; Kazi na dawa.

10. Maina; When are you going to perform in Nairobi?

Harmonize; I’m not sure right now I’m just focusing on doing a media tour. Because Kenyans are one of my biggest fans

11. Maina; What’s your favorite song that you’ve ever done?

Harmonize; I think it’s my new song that I’m yet to release, haijatoka bado. inatoka this Friday.

 

 

 

 

 

Photo Credits:

Read More:

[fbcomments data-width="100%"]