mother-yelling-child-xl

Nivunje Roho Kama Babako! 28 savage things Kenyan mums have ever said

Being raised by a Kenyan mum has its fair share of drama. Take for instance when you ask her a dumb question. Do you expect that she won’t be irritated and respond in the most sassy way?

TerryAnne Chebet began the discussion with an example that generated tons of responses from Kenyans with their own experiences from their mothers.

“Msipatie Ngombe chakula nitakuja kuzipeleka hoteli” African mother’s invented sarcasm!!! Having a conversation with friends and this just made my day!!!

Kenyans shared the times they got burned expecting something different. Here are 28 such instances as you freeze in this weather.

Why does she keep mentioning me on social media? Kanyari asks about Betty Bayo

1. Poteza vitabu kabisa. Text book centre ni ya Baba yako

2. Ama uvuje kikombe unaambia toa ata hizo ziko kwa kabati uvunje, Smiling face with open mouthSmiling face with open mouthSmiling face with open mouth
You have made day

3. Usishinde ukisomea mtihani ndio maana babako no driver wa matatu

4. My mum would say this when she gor home and we had not cooked “poleni. Sikujua niliweka mwiko kwa handbag ”

5. Yesterday I scratched my credit,rolled it and threw in front the TV and she was like “Jemsi toa hio kitu mbele ya TV inazuia remote kuchange station”Face with tears of joyFace with tears of joyFace with tears of joy

black-Mother-and-her-child
6. My mum would be like “laleni tu. Si nyinyi wote mlitoka makerere juzi? Mnangoja tu kuanza kazi.” What would follow would be endless slippers to whoever dared to remain sleeping na venye ilikua kwa floor. That woman is a legend.

Yes we are dating – Eddie Butita finally comes clean on relationship with Mammito

7. Muende mshiage mahindi gororo tano….alafu mfuate mtu was mtama…nitarudi kuchagua..Rolling on the floor laughingRolling on the floor laughingRolling on the floor laughingRolling on the floor laughingwho can relate this.

8. Was working in the shop then nkachelewa kuenda farm kulisha ngombe,,,kufika huko mathe akanisho najichosha tu ety”ungewaletea soda na ngumu”Face with tears of joyFace with tears of joyFace with tears of joyFace with tears of joy

9. “Sawa, ngojeni mtakula kuku wageni wakibakisha”
Then after peeping on the window wageni we see wakimaliza ile kuku. Innocently, we shout mum wageni wamemaliza kuku…. What follows is WW3

mother daughter (1)
10. One day she cooks ugali mboga. We ask: hakuna nyama? She says, “baba yenu ni president. Muulize” aiiiii

11. Sometimes you have a dislike for a certain food utaambiwa, “kwani tumbo ni yako ama yangu?, ukisikia njaa karambe taa”.

12. What about lying where from: she’d laugh and say: siku hizi mbuzi waliisha, tunalisha watu, nilikua mbaya kukuliko enda uulize nyanya yako…Face with tears of joyFace with tears of joy

13. Moms have to be the Best….My Mums Best Lines have to be
1.Finding that we had not cooked and she’d say “Eeeh hamjapika juu nilienda na Sufuria”
http://2.Us Crowding her when she making chapatis(Chapatis were an event back then).. “Tulieni sipiki nipeleke sokoni”

14. Nliona video ingine Mathe akiambia her daughter “Usioge leo Wanjiru, Jioni nitakuja kukulamba” Face with tears of joyFace with tears of joyFace with tears of joyFace with tears of joy

15. Iko ingine, anauliza daughter kama alianika uniform anasema no, and tells her, don’t worry since uko na jua yako,utachomoa Tu nguo zikauke

I never wore panties before I got saved! Size 8 reveals

Mother-Daughter-10
16. Alipika chai, “mrefu sana , Tukamwambia hii chai inakimbia sana ,akasema niyeye ame ituma

17. Tumieni stima venye mnataka naenda kununua kengen kesho

18. U call her when she is at duty to ask mutapika nini jioni

She goes ningojenii nikujeh munikaangee na mafuta baba yenu anikule

19. Poteza vitabu kabisa. Text book centre ni ya Baba yako

20. One glass fell and there she was – “pasua zote mama yenu ni madam atanunua”

21. Mum leo tunakunywa chai na nini?
and she said, “ kwa kawaida tunatumia mdomo, jaribu mapua utatuambia vile iko”

22. Ama akutume na ni mbali ndo umwambie nitaenda na nini?…..’ngoja babako akutumie ngege!’

23. Me: Mum, naskia njaa.
Mom: angalia kwa handbag yangu kama nimebeba masufuria.

My stalker asked me for fare so he could visit me! Sheila Mwanyigha narrates (Exclusive)

24. In the morning, “lala kabisa, ulale usiende shule, lakini ujue sitaki ng’ombe haikuli nyasi” wueh! Moms!!!

25. “Cheza na masomo kabisa mko na pesa si babako ni president”

26. Naenda Chama, hio kitheri msiongeze maji, nitakuja munikule

27. Mwingine anakusho imbisheni radio kabisaa mtakuja kusomea baba yenu taarifa.

28. Cheza na matope kabisa, sii mama yako ni dry cleaner.

Also read more here

Photo Credits:

Read More:

[fbcomments data-width="100%"]