Pastor Kanyari: This is how my sister was murdered

"Sister yangu ni wale wasichana ni socialite, Instagram pekee yake anafuatwa na watu wengi kuniliko."

Starlet Wahu
Image: Instagram

Days after his sister Starlet Wahu passed away, Pastor Victor Kanyari spoke out.

Kanyari described how his sister was brutally murdered at a rental apartment in South B while giving a speech at his church.

"Alidungwa visu kama tatu hivi. My only sister ambaye ameishi America miaka yake yote. A very pretty girl, msichana mzuri amebarikiwa aliuawa."

"Alidungwa visu kama tatu hivi. My only sister ambaye ameishi America miaka yake yote. A very pretty girl, msichana mzuri amebarikiwa aliuawa."

He said that his sister was looking for someone to date just like any other woman.

"Ni ukweli sister yangu alipata mwanaume na yule mwanaume akamdate katika mitandao na wakapendania huko kwa Facebook. Mwanaume akamwambia aende wakule na wakunywe na akamwambia yeye ni tajiri sana. Na wasichana was siku hizi wanapenda matajiri sana."

Adding that she was a socialite, "Sister yangu ni wale wasichana ni socialite, Instagram pekee yake anafuatwa na watu wengi kuniliko."

He continued;

Yule mwanaume akamuita wakaenda kwa club wakakula nyama na kukunywa pombe. Yule mwanaume akamwambia ningependa tuwe marafiki, wakakubaliana, wakakomboa nyumba ya kwenda kulala.

Sister yangu akamwambia siwezi lala na wewe kabla hatujapimwa virusi vya ukimwi. Wakanunua machine za kujipima na wakaenda kwa room ya kulala kumbe yule mwanaume alikua serial killer, sister yangu hakujua.

Sioni makosa ya sister yangu, kwa sababu yeye ni msichana hajaolewa anatafuta mtu wa kum-date."

Kanyari claimed that when his sister tried to phone him late at night, he did not answer.

"Ilipofika saa nane ya usiku, sister yangu akanipigia lakini sikushika, kwa hivyo, saa tisa akaanza kukua threatened na yule mwanaume. Akamuitisha elfu mia tano. Sister yangu akakua resistant, yule mwanaume akamdunga kisu ya shingo na mguu. Akamwambia apigie watu wenu watume pesa, ikawa amem-hijack."

According to Kanyari, his sister's killer left her bleeding inside the house after locking her inside.