ommydimpoz

Friends goals! After doing a song together, Ommy Dimpoz opens ups about Avril’s baby

Ommy Dimpoz is in Kenya for a media tour to promote his new song Yanje with Nigerian artiste Seyi Shay.

Apart from his latest collabo, he has also done more collaboration with East African artistes, including Avril and Vanessa Mdee. He has been away for a while and he said:

“Nilikua najifunza, kusettle zaidi kwenye muziki, kwa nini nyimbo zinatoka in a few days zinaisha. Kimenifanya kidogo niwe na uoga, and I need to work on it.”

Well, what does he consider most before doing a collabo with anyone?

“In collabos, huwa nafikiria zaidi kuhusu shabiki, ata kama ana bibi au bwana ili niweze kujaribu kuonyesha kua ako deep in love.”

“Haijalishi kama haitapendwa kwa mfano, kuna watu niliwapatia hiyo ngoma yangu na Avril wakasema si mzuri but after tulifanya na ikatoka, wakaja tena kuniambia ni kali.”

“Tulikutakna studio kule kwetu Tanzania tukafanya hiyo ngoma yote, then later nikaja Nairobi tukafanya video Naivasha.”

Ommy Dimpoz and Avril have a hot collabo single together.

Watch it below.

Asked if he has called Avril to congratulate her for the baby, he said:

‘You Are Nobody’ Avril Responds To ‘Fake’ Claims She Did A Collabo With Furious Tanzanian Artiste

“Kusema kweli, nilijua Avril ako na mtoto nilivyokuja Kenya, lakini najaribu nione vile nitamtembelea niweze ata mpelekea mtoto zawadi kwa sababu Avril amekua good friend kwa miaka mingi na Mwenyezi Mungu amemjalia akampatia mtoto ambapo ni baraka na ninamwombea Mungu awe mama bora na mfano mwema kwa mtoto. Ikiwezana pia atuongezee Uncle mwingine pia.”

Asked if he is beefing with Diamond Platinumz and whether he could do a collabo with him, he said:

“I don’t have any beef with Diamond. Wote tunafanya muziki pamoja na tunataftia watoto pamoja.”

Ommydimpoz-and-Avril1

Here is the letter Ommy wrote to Diamond, go through;

“BARUA YA WAZI KWA BINTI YANGU MALKIA WA NGUVU

Salam zako nimezipata mwanangu Hivi kweli wewe wa kukosa Adabu na kuamua kunichamba mimi Baba yako? Sasa kosa langu mimi nini?😭😭😭 Kwani kuna Ubaya kumtandikia Kitanda Baby wako King?
#UnanioneaKwaKuaSijuiKurap😭
#SijuiNaMimiNimkatae🤔🤔
#KamaYeyeAlivyomkataaWaMobeto
#YaniUnamkataaMjukuuWangu😭😭
#UnakubaliKuleaWatotoWa5SioWako

#UmerogwaWWSioBureMwanangu
#NilikuwaNajuaNimezaaSIMBA
#KumbeNimezaaKIMBA
#DavidoNaeAnalalamiKuhusuENEKA
#UmeletaJanjaJanjaKwenyeFallOnU
#NnaedhalilikaMimiBabaYaKo😭😭
#UtakujaKuniuaKwaPreshaJomoniiii😭
#HayaNendaKatungeVesiNyingine😜
#RahaYaVitaUsichagueSilaha
#BABAMALKIA”

Ommy’s letter has ignited mixed reactions and here are some of the comments

Ejay: We maku kweli una laana ndo mana hufanikiwi zaidi malamamaako…….umekosa yote ya kuongea mpaka umshirikishe mama SIMBA?? halafu acha kushabikia wanaume wa kariakoo utaliwa WASHERI…. PAKUNYEA WW😅
Fay: Umezingua achaneni kuwaingiza wazazi kwenye ishu zenu.

Said: Ommy hatari hii barua

Redempta: I think this too much. You have to do something before its tooo late. Don’t let your innocent mum to be played around like that. @ommydimpoz shame on you. Even the Bible doesn’t allow that. May God have mercy on you.

Empress: Dah! Hivi ata nimechoka with keeping up with these bongosians. But Esmaplatnumz (Diamond’s sister) was right, they shd respect mama dangote and leave her out of their tweefs!

Linda: @empress true so disrespectful

Shamuna: @ommydimpoz hapo umeharibu kaka inakuaje bifu lenu binafsi mpeleke ad kwa mama zenu ndo mana mnapotea kweny game

Photo Credits:

Read More:

[fbcomments data-width="100%"]