Wangige matatu 1

A list of 34 downright hilarious stickers you will read in matatus

 

 

One of the things you will truly enjoy during your commute is reading all the funny stickers on the walls of matatus.

Just about all PSV’s have stickers, and as it tickles you, do you ever wonder who thought of it? I do.

KOT have shared some of the funny ones they have read on matatu stickers.

1. @ericmlinturi..
Dere angusha gari tuonekane Kwa news

2. @nivlek_koech..
Afadhali kununua gari kuliko kuoa bibi mkorofi

3. @Mikeyish77..
“kwa mat naitwa konda au makanga bt kwa nyumba mm ni BABE” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

4. @TonnyLegal..
hatusemi wewe ni mnono ,lakini ukialia viti mbili unalipa double

5. @geraldo254_..
Hakuna stage inaitwa ‘hapo dere’πŸ˜‚

cuc laughing

6. @Kapanyakawhite..
Unakataa kukaa nyuma ju we ni mgonjwa kwani mbele kuna daktari πŸ˜…

7. @freddleonz2..
Ukitaka stage ya kumi… enda githurai

8. @kimutaironny..
Fare haijapanda wewe ndio umesota

9. @boizkuwateka..
Kushuta ni bure kutapika ni chwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

10. @Samdeeh2..
Fare ni kulipa, change ni kungoja πŸ˜‚πŸ˜‚

Barack-Obama-laughing

11. @EddKuhora..
Umaskini haitaki hasira tulia..
Ungekuwa na mbio ungeenda jana.

12. @joycelagat..
Unanipatia ama nijipange? πŸ˜‚πŸ˜‚

13. @Charles97314272..
Achana na dereva ako na bibi conductor ndiye anatafuta

14. @danielkim452..
Kunyemelea mke wa jirani ni kama ngombe kujipeleka kichijio.

15. @BadlandsClipper..
ukichoka mdomoni, yaeke gazetini.

old-woman-laughing
_
16. @ChrisantMwaka…
Husiguze dere kwa mgongoπŸ˜…

17. Uvuvwevwevwe…
Furaha yako ya selfie furaha ya mwizi wa simu

18. @AmohMaish..
kataza dadako kunifuata gari sio yangu nimeajiriwa pia

19. @bkibet_yegon..
Kama huna deni hutumii akili

20. @benjaminopwaka..
Ukipata pesa njoo nikupeleke club ina madem

21. @BirdboyChronixx..
If you miss the driver.. Kiss the conductor πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

22. @bruce_elite..
Wewe ni rafiki yangu, ndiyo sikatai lakini biashara yangu haikutambui

shocked meme

23. @vincent_owili..
kama riziki popote basi nenda kauze bangi polisi

24. @danielkim452..
Kitambi ikifika level fulani nunua gari yako.

25. @allanson16..
Una mbio, nunua mafuta ya mbao uslide tukupate tao. Usisumbue dere

26. @Ahmedshiraz9..
Utamu wa lorry nikupanda nyuma.

27. @LMagereza..
Kama ukona haraka ungetoka janaπŸ˜‚πŸ˜‚

28. @shiku_wa_kamau..
Usiteme mate hapa, si uko na handbag πŸ˜‚

29. @ISAAC427..
””‘KAMA UNA-MBIO KIMBIA SHIDA”‘

30. @nandigreg..
penda chips penda mimba
πŸ˜‚πŸ˜‚

31. @mayyanna1..
Dere ameoa ,konda ndio anatafuta

32. @Lansbrown..
Gari haijajaa, dere anashuka next stage.

33. @Johnson90173089..
Heshimu sheria za barabara dada, gari sio mboro ati ikikuona itasimama.

34. @Sprint254..
Watu ni kukaa wanne wanne. Starehe ni kwa wheelchair.

Also read more here

Photo Credits:

Read More:

[fbcomments data-width="100%"]