mum.000.angry

19 hilarious things Kenyan mum’s say to their children

She is a phenomenal black mum, but sometimes her children get under her skin.

Kenyans on Twitter are sharing some hilarious but truthful responses they get from Kenyan mum’s whenever they ask something.

The responses are so quirky and creative it will have you nodding your head.

You know you have a Kenyan mum when she says this:

1. @muitunguvincent..
Me : Sitaki kuoga saa hii nacheza

Mum : mimi usiniletee aibu kwa nyumba yangu

dog terror tized by mum image
2. @Nivlake..
Ukieka vijiko mbili za shuge kwa cup… Mwaga Ata yote kwa kikombe si babako ndo manager wa Mumias sugar. πŸ˜‚

3. @themalvin99..
Brings a friend with dreadlocks home

Mum: endelea tu kuonyesha wakora mkona tv. πŸ˜‚πŸ˜‚

mummys boy
4 . @JemimahOdambe..
Eeeh kuleni yote nikama dunia inaisha usiku wa Leo na kesho mtataka kunikula

5. @OkumuKenleo..
Ever heard of “….. Kuna wakati mtanitafuta mnikose!” saa hyo umesahau tu kutoa sahani kwa meza.

6. @jaternreteeks..
Vunja vikombe vyote kwa hii nyumba,mkimaliza mnivunje roho Kama baba yenyu.πŸ˜†

new.mum
7. @ayshaj00..
Unajigonga kwa meza unalia

Mum: Kati ya wewe na meza ni nani ako na macho?

8. @mcjoker6..
*starts crying after a beating*

Mum: acha tulete mitungi ujaze machozi ata hakuna maji

9. @KuleiJuan..
Mum:umekula sukari sindio eeeh
Me:hapana mum
Mum: aaah hebu fungua mdomo ng’ombe hii

two mums
10. @harrisonthuo..
Me: (breaking cups)

Mum: Vunja tu hizo vikombe, nazihesabu, nitazikujia tu ukianza kufanya kazi!

11. @Ami92689210..
Me: naumwa tumbo mum
Mum: nashindanga nikikwambia utoke kwa hio simu ona sasa
πŸ€¨πŸ™„

12. @MikeyMzito..
Me: Mum mimi siendi na hizi nguo,hazikai poa

Mum: kwani unaenda kuolewa,utavaa hizo πŸ˜…

Single Mother Getting Kids Ready in the Morning.
Single Mother Getting Kids Ready in the Morning.

13. @ShyzloMike..
mum: sends me to look for something in the house
Me: shouting in the house ( mum sijaiona)
mum : wewe unaweza pata kitu kweli ukitumwaπŸ˜“πŸ˜“πŸ€πŸ€ na saa hiyo ndio anakishow place ameiwekaπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜‚

14. @justine_osiemo..
A spoon falls kwa floor

Mum:chukueni ata zile ziko kabati pasua yote si mama yenu anachuna pesa Kama matawi.
15. @KaiwaNzomo..
me: drops a spoon

mum:acha nikutolee vyombo zote kwa kabati uzimalize juu hivo utakua umenimaliza piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

shocked-meme
16. @RSpartaz..
Ukiangusha glass accidentally:
Mum: chukua nyundo umalizie zenye umebakisha

17. @Its_WambuiG..
When you leave the door open.
Mum: unawacha mlango hivo kwani uko na mkia utafinya ukifunga?

18. @Rosal_awake9..
Ukiangusha vikombe na zivunjike anaanza
Mom:Vunjeni kabisa alafu mkuje mnivunje roho kama baba yenuπŸ˜‚

19. @WangetheP..
Me: tupike nini leo
Mum: kuna sufuria nimebeba ama? Mnaeza nikatakata mnikule πŸ™„

 

Also read more here

Photo Credits:

Read More:

[fbcomments data-width="100%"]